Mlinzi aeleza jinsi mshtakiwa alivyoiba Vodka, klabu ya The Voice, kuzificha kwenye fulana
Dar es Salaam. Mlinzi Klabu ya The Voice Tz Limited, iliyopo Tabata Kinyerezi, jijini Dar es Salaam, Masoud Hassan, ameieleza Mahakama jinsi mshtakiwa Tumaini Moshi, alivyoficha vinywaji katika fulana yake ya bluu aliyoivaa, walipovamia katika klabu hiyo na kufanya vurugu akiwa na wenzake, Oktoba 29, 2025 Hassan ametoa ushahidi wake leo Jumatano, Februari 25, 2026…