Rostam ainunua Nation Media Group

Dar es Salaam/Nairobi. Mfanyabiashara wa Afrika Mashariki, Rostam Azizi, kupitia kampuni yake ya Taarifa Ltd amenunua hisa zote zilizokuwa zikimilikiwa na Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED) katika kampuni ya NPRT Holdings Africa Limited, hatua inayomfanya kuwa mbia mkuu wa Nation Media Group (NMG). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 10, 2026, inaeleza…

Read More

Takukuru yakabidhi mashine za Sh18 milioni kuokoa vichanga

Mwanza. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imekabidhi mashine mbili za matibabu, zenye thamani ya Sh18 milioni, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure, kwa ajili ya kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati na wale wanaopata ugonjwa wa manjano. Mashine hizo ni Radiant warmer, inayotumika kuwahudumia watoto wanaozaliwa…

Read More

MKUTANO WA HALI YA WANAWAKE DUNIANI (CSW 70 WAHITIMISHWA NEW YORK, MAREKANI.

-WAZIRI DKT. GWAJIMA KUANZISHA JUKWAA LA MAJADILIANO ENDELEVU YA KISEKTA KUHUSU MIKUTANO YA WIZARA KIMATAIFA. Na WMJJWM New York Marekani Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema, Serikali kupitia Wizara anayoiongoza itaanzisha Jukwaa endelevu la majadiliano ya Kisekta litakaosaidia kuongeza ufanisi wa ushiriki wa Nchi katika Mikutano…

Read More

Wazazi wanavyoweza kudhibiti WhatsApp za watoto wao

Dar es Salaam. Katika kuhakikisha usalama wa watoto mitandaoni, Kampuni ya teknolojia ya Meta Platforms, inayomiliki programu ya WhatsApp, imetangaza kuanzisha mfumo mpya wa akaunti zinazodhibitiwa na wazazi kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 13. Tangazo hilo lililotolewa Machi 11, 2026, linakuja wakati dunia ikishuhudia ongezeko la wasiwasi kuhusu athari za mitandao ya…

Read More

EWURA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

  MWEYEKITI   wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya Tanzania (TUGHE) Tawi la EWURA, Herieth Kasilima, akiwaongoza baadhi ya Wafanyakazi Wanawake wa EWURA  waliojitokeza katika maadhimisho ya  kilele cha Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika   ngazi ya Mkoa wilayani Kongwa ,mkoani Dodoma leo Machi 8,2026 wakipita mbele ya mgeni rasmi wa maadhimisho…

Read More

Amekutumia Halafu Anakuacha? Usiumie, Fanya Haya!

MUNGU ni mwema sana. Tunakutana katika eneo letu la kuweza kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Tunajifunza, tunatafakari kwa pamoja kuhusu maisha yetu. Hakuna aliye mkamilifu, kila mtu anajifunza kila siku. Unaweza kujiona unajua mambo lakini kumbe kuna mwenzako anajua zaidi. Uungwana ni kujenga desturi ya kujifunza. Suala la msingi ni kuiruhusu akili yako iweze…

Read More

Usafiri kikwazo ufuatiliaji elimu, mwarobaini watolewa

Unguja. Licha ya maendeleo ya elimu kuanza kuimarika Zanzibar, imebainika kuwa ukosefu wa usafiri kwa maofisa elimu wa mikoa na wilaya unashusha ufanisi, kutokana na kushindwa kufuatilia utendaji wa shule, hasa zile zilizopo maeneo ya vijijini. Kutokana na hali hiyo, Serikali imenunua pikipiki 15 kwa ajili ya maofisa wa wilaya na mikoa yote ya Zanzibar,…

Read More

Wanyarwanda watamani historia ya mauaji ya kimbari ifundishwe darasani

Kigali. Wanyarwanda waliohudhuria kumbukizi ya mauaji ya Kimbari nchini Rwanda wameonyesha mitazamo yao wakitamani historia hiyo ifundishwe darasana kutokana na kubeba mafunzo mengi. Kijana Yusufu Bhangula (25) amesema umefika wakati kwa Serikali ya Rwanda kuanza kufikiria namna ya kujumuisha historia ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 katika mitaala ya shule, kwa lengo la kuelimisha…

Read More