Usafiri kikwazo ufuatiliaji elimu, mwarobaini watolewa

Unguja. Licha ya maendeleo ya elimu kuanza kuimarika Zanzibar, imebainika kuwa ukosefu wa usafiri kwa maofisa elimu wa mikoa na wilaya unashusha ufanisi, kutokana na kushindwa kufuatilia utendaji wa shule, hasa zile zilizopo maeneo ya vijijini. Kutokana na hali hiyo, Serikali imenunua pikipiki 15 kwa ajili ya maofisa wa wilaya na mikoa yote ya Zanzibar,…

Read More

Ujumbe wa TAMWA kwa wanahabari wanawake 

WAKATI kesho Machi 8 ni Siku ya Wanawake Duniani, waasisi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), wamekutana na kukumbushia safari ya mafanikio ya chama hicho na kuhamasisha kizazi kipya cha wanahabari wanawake kuendelea kupambana. Waasisi hao walikutana katika tukio maalum la futari lililofanyika jana Ijumaa Machi 6, 2026 kwenye ukumbi wa TAMWA…

Read More

LONGIDO NA NGORONGORO BEGA KWA BEGA KATIKA UHIFADHI NA UTALII

…………. Na Sixmund Begashe, Dodoma  Uongozi kutoka katika maeneo ya jamii za kifugaji Longido na Ngorongoro umekutana na uingozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii,  Jijini Dodoma kwa lengo la kupata uelewa wa pamoja kuhusu uhifadhi endelevu wa Wanyamapori pamoja na Maliasili ili kuendeleza utalii.  Akizungumza na ujumbe huo Jijini Dodoma Waziri wa Maliasili na…

Read More