WAZIRI WA NISHATI DEOGRATIUS NDEJEMBI AAGIZA REA KUWEZESHA UZALISHAJI WA NISHATI SAFI
Na Farida Mangube, Morogoro Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuandaa mpango madhubuti wa kuwawezesha wananchi kuzalisha nishati safi ya kupikia kwa kutumia pumba za mpunga. Agizo hilo limetolewa wakati wa ufunguzi wa kongamano la kitaifa la nishati safi lililofanyika mkoani Morogoro, likihusisha wadau kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Hatua…