Yanga yasimamishwa na TRA, Dube, Mwenda wazua hofu

YANGA imevutwa shati na TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 18, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya timu hizo kushindwa kufungana. Katika mechi hiyo, Yanga iliwakosa wachezaji sita wanaouguza majeraha ambao ni Clement Mzize, Dickson Job, Ibrahim Abdullah ‘Bacca’, Laurindo Aurelio ‘Depu’, Chadrack Boka…

Read More

Kituo cha Afya Kataryo kusogeza huduma kwa wananchi

Zaidi ya wakazi 13,200 wa Kata ya Tegeruka pamoja na vijiji jirani katika Wilaya ya Musoma Vijijini mkoani Mara wanatarajiwa kuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya kwa ngazi ya kituo cha afya na kuendelea baada ya Serikali kutoa Sh250 milioni kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Kituo cha Afya Kataryo….

Read More

Katika siku ya saba ya vita vya Mashariki ya Kati, hakuna kuacha mateso – Masuala ya Ulimwenguni

Siku saba tangu shambulio la Israel na Marekani nchini Iran kuzusha mashambulizi yanayoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati, wahudumu wa kibinadamu walithibitisha kutokea machafuko makubwa nchini Lebanon, huku mamia ya makazi yakiwa yamejaa. vitongoji vyote vya Beirut vimeachwa. “Jeshi la Israel linavamia kusini mwa Lebanoni, amri za kuwahamisha watu katika vitongoji vya kusini mwa…

Read More

Mkurugenzi Olympafrica afichua mkakati wa kukuza vipaji Zanzibar

WAKATI Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikiboresha miundombinu ya michezo kisiwani hapa, wadau wa michezo wameanza kuwajenga watoto kukuza vipaji vyao. Katika kufanikisha hiyo, Kituo cha Olympafrica kilichopo Dole kimekuwa na utaratibu wa kuandaa mechi za kirafiki kwa watoto zenye lengo la kujenga uhusiano bora baina yao. Akizungumza na Mwanaspoti baada ya mechi hiyo…

Read More

MAKAMU WA RAIS DKT.NCHIMBI AWASIHI VIONGOZI WA DINI. NA WATANZANIA KUIOMBEA NCHI,VIONGOZI WA SERIKALI NA VYAMA VYA SIASA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi Viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia mwezi wa toba wa Ramadhani na Kwaresma kuiombea Nchi, Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa ili kujenga nchi moja yenye upendo na mshikamano. Makamu wa Rais, amesema hayo mara baada ya kushiriki…

Read More

Uwekezaji wa Sh700 bilioni madini ya niobium kuibeba Tanzania

Dar es Salaam. Tanzania imeingia makubaliano ya uwekezaji wa Dola za Marekani 300 milioni (takribani Sh700 bilioni) na Panda Hill Tanzania Limited, hatua inayotarajiwa kuibadilisha Mbeya kuwa kitovu kipya cha biashara na viwanda. Aidha, kwa mkataba huo, imefungua ukurasa mpya wa uchumi unaolenga kuongeza thamani ya madini na kuimarisha nafasi ya nchi katika masoko ya…

Read More