Nashon aichomoa Simba mkwanja wa maana

KIKOSI cha Simba jana kilikuwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Mbweni, jijini, Dar es Salaam, kucheza dhidi ya TRA United, huku kiungo mpya wa timu hiyo, Kelvin Nashon, akiingiza zaidi ya Sh230 milioni, ili kukamilisha dili hilo. Mechi hiyo ya Ligi Kuu, ni ya raundi ya pili, baada ya ile ya kwanza iliyopangwa kufanyika…

Read More

Muya ataka mechi za kirafiki Coastal

KOCHA wa Coastal Union Mohamed Muya ameweka wazi mkakati wake kuelekea kipindi hiki cha mapumziko, huku akisisitiza umuhimu wa kucheza mechi za kirafiki ili kujiweka sawa kabla ya kurejea kwenye ushindani. Akizungumza na Mwanaspoti alisema kuwa, mapumziko haya hayapaswi kuwa ya kupoteza muda, bali ni fursa ya kurekebisha makosa yaliyojitokeza katika michezo iliyopita na kuimarisha…

Read More

Huko Yanga kuna fukuta, kocha aitwa mezani

YANGA ilirejea nyumbani jana kwa mafungu ikitokea Mkoani Dodoma ilikokwenda kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kutengeneza sare nyingine ya tano msimu huu lakini matokeo hayo yameibua presha kubwa kwa kocha wa timu hiyo Pedro Goncalves. Presha kubwa ya Pedro ni kwamba Yanga ikiwa chini yake haijapoteza mchezo wowote lakini kwenye sare…

Read More

IPTL YAPATA USHINDI: MWENYEKITI ASAFISHWA NA POLISI

  JESHI la Polisi Tanzania limetoa cheti cha kumsafisha Mwenyekiti wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Singh Sethi dhidi ya uhalifu katika kumbukumbu zao. Cheti cha Kibali cha Polisi chenye kumbukumbu namba FB/FP/G.4/2026/VOL.III/49198, kimetolewa na Ofisi ya  Uchunguzi wa alama za vidole na Jeshi la Polisi  jijini Dar es Salaam. Cheti hicho…

Read More

Meridian Bonanza Yaleta Nguvu Mpya ya Ushindi Meridianbet

Global Publishers March 22, 2026 0 Comments Soko la michezo ya kubashiri limepata burudani mpya inayotikisa anga la ushindi, Meridian Bonanza. Mchezo huu umeingia kwa kishindo ukiwaletea wabashiri msisimko, ubunifu na fursa kubwa za kushinda. Kwa yeyote anayependa kubashiri na ndoto ya kuona ushindi wa uhakika, Meridian Bonanza ni mchezo wa kucheza na kushuhudia ushindi…

Read More