TADB YATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM ZANZIBAR

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Machi 9, 2026 imetembelea watoto wenye mahitaji maalum katika vituo viwili vya kulelea watoto Zanzibar kwa lengo la kuwafariji na kuwaunga mkono katika kipindi hiki cha mfungo mtukufu wa Ramadhani. Katika ziara hiyo, benki ilifika katika Kituo cha ZASO Children Home kilichopo Fuoni Mambo Sasa ambacho kina…

Read More

Zanzibar mguu sawa ujenzi kituo cha mikutano kimataifa

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanza mkakati kabambe kujenga Kituo cha Kimataifa cha kumbi za mikutano na maonesho ya biashara Fumba ambacho kitagharimu zaidi ya Dola za Marekani 124.518 milioni sawa na Sh324.680 bilioni. Katika kuimarisha ukuaji na utafutaji masoko hapa nchini, Kituo hicho kinalenga kuifanya Zanzibar kuwa kitovu cha biashara katika ukanda…

Read More

Straika JKU akoleza ZPL moto mbio za ubingwa

SAFU ya ushambuliaji ya timu ya JKU inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) imeendelea kujiwekea mikakati kabambe kuhakikisha taji linarudi msimu huu. Akizungumza na Mwanaspoti, mshambuliaji wa timu hiyo, Feisal Hilali Nassor amesema JKU ipo Ligi Kuu Zanzibar kwa ajili ya kupambania ubingwa na sio kushiriki. Alisema ndio maana kila mchezaji wa timu hiyo kipaumbele chake…

Read More

Utawala Usio na Chochote Kilichoachwa ila Nguvu – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Georgios Kostomitsopoulos/NurPhoto kupitia Getty Images Maoni na Inés M. Pousadela (montevideo, urugwai) Jumanne, Februari 24, 2026 Inter Press Service MONTEVIDEO, Uruguay, Februari 24 (IPS) – Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesitisha uasi mwingine, na ukatili ambao unafanya ukandamizaji wa awali kuonekana kuzuiwa. Utawala wa kitheokrasi umeokoka, lakini umefanya hivyo kwa kuweka ghasia badala ya…

Read More

Makundi ya Muqawama yapongeza kuchaguliwa Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu

Harakati za Muqawama zimetoa taarifa zikilipongeza taifa la Iran kwa mnasaba wa kuchaguliwa Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kama Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini. Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imempongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kwake kama Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ikisisitiza kwamba, kundi hilo Kiongozi la…

Read More