Wale wa kubania ushuzi, mnalijua hili…

Dar es Salaam. Umewahi kujamba mbele ya mwenza wako, rafiki au wafanyakazi wenzako? Achana na aibu na fedheha ulioipata, kitaalamu ulifanya tendo sahihi kwa masilahi ya afya yako. Kwa taarifa yako, kubania ushuzi kunakuweka katika hatari ya kupatwa na magonjwa kadhaa yasiyoambukiza, ikiwemo saratani, kama ilivyofafanuliwa katika ripoti za tafiti mbalimbali na wataalamu wa afya….

Read More

Uhalifu uliopangwa na udhibiti duni wa kulaumiwa kwa tishio la uchafuzi wa mazingira – Masuala ya Ulimwenguni

Katika a ripoti mpya kuhusu janga la kimataifa ambalo makadirio ya kihafidhina yanasema inazalisha hadi dola bilioni 18 za faida haramu kila mwaka, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) ilionyesha kuwa maeneo yote ya ulimwengu yamechorwa, ingawa data ndogo inapatikana nje ya Uropa. Ulimwenguni, usimamizi wa taka za kisheria…

Read More

FCC yatoa elimu kwa wananchi wa Chalinze

Maafisa wa kulinda walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wametoa elimu kwa wananchi wa Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani kuhusu haki na wajibu wa mlaji, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Kumlinda Mlaji duniani yanayotarajiwa kufanyika Machi 31, 2026. Elimu hiyo imelenga kuwajengea wananchi uelewa kuhusu namna ya kutambua bidhaa na…

Read More