Ulimwengu Mpya wa Ujasiri na Ushindi Upo Ndani Ya Vaso Psycho Ya Meridianbet

Global Publishers February 28, 2026 0 Comments Meridianbet imeendelea kuleta mapinduzi katika burudani ya mtandaoni kwa kuzindua Vaso Psycho, uliotengenezwa na Expanse Studios unaowalenga wachezaji jasiri. Huu ni mchezo unaotoa nafasi ya kuonyesha mbinu, akili na uthubutu wako. Vaso Psycho umeundwa kwa ajili ya wale wanaotafuta ushindi wa kiwango cha juu. Katika kila mzunguko wa…

Read More

Alliance ipo sokomi ikitafuta kocha

ALLIANCE Girls imeingia kambini rasmi Ijumaa kuanza maandalizi ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania inayotarajiwa kurejea April 03, huku uongozi wa timu hiyo ukianza mchakato wa kusaka kocha mkuu mpya atakayeiongoza kikosi hicho katika mzunguko wa pili. Mabadiliko hayo yanafanyika katika benchi la ufundi kufuatia aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Sultan Juma kuondoka baada…

Read More

Mchakamchaka siku 12 za mashambulizi Mashariki ya Kati

Leo zimetimia siku 12 tangu kuanza kwa mashambulizi ya anga Mashariki ya Kati, baada ya Marekani na Israel  kuishambulia Iran, taifa la Kiislamu lenye utajiri wa mafuta katika ukanda huo. Mashambulizi hayo yalianza Februari 28, 2026, pale Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei alipoteza maisha siku hiyo sambamba na viongozi wengine waandamizi Zaidi ya…

Read More

AIR TANZANIA YASITISHA SAFARI ZA DUBAI

::::::::::: Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), imetangaza kusitisha kwa muda safari zake za kwenda na kutoka Dubai, kutokana na kufungwa kwa anga la Mashariki ya Kati.  Katika taarifa kwa wateja iliyotolewa leo Februari 28, 2026, kampuni hiyo imesema imesitisha safari hizo hadi itakapotolewa taarifa nyingine na kwamba inaendelea kufuatilia kwa karibu hali ilivyo na…

Read More

Vinara Ligi Daraja la Kwanza Unguja raha tu

VINARA wa Ligi Daraja la kwanza Kanda ya Unguja, Black Sailors, wamesema msimamo umekuwa hamasa nzuri ya kuanza mazoezi kwa ari zaidi. Kauli hiyo imetolewa na Kocha Msaidizi, Said Mwinyi akisema amefurahishwa na namna wachezaji walivyoanza mazoezi kwa ari kubwa. Black Sailor inaongoza ligi hiyo kwa pointi 53 ilizovuna katika mechi 20 na kubakisha mechi…

Read More

Simulizi tamu ya Tepsie Evance na Okello wa Yanga

STAA wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Shaban Kisiga aliwahi kusema kipaji kinakijua kipaji kingine hata kama wachezaji wanacheza timu tofauti. Hali hiyo imetokea kwa winga wa Azam anayecheza JKT Tanzania kwa mkopo, Tepsi Evance ambaye jina la utani wanamwita Okello. Kauli ya Kisiga ilitokana na kiungo wa zamani wa Yanga, Haruna Niyonzima aliyewahi…

Read More