Sura tatu ziara ya Kihongosi Tabora, Kigoma

Ziara ya siku saba ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, katika mikoa ya Tabora na Kigoma, imeibua matumaini kwa wananchi, lakini baadhi ya watendaji wa Serikali walijikuta kwenye wakati mgumu mbele ya kiongozi huyo. Ugumu huo ulitokana namna ya Kihongosi alivyokuwa akiwabana akiwataka kutoa maelezo ya kina…

Read More

Matumizi ya VRA Bongo tumekwama hapa

WAKATI wadau na mashabiki wa soka nchini wakijiuliza lini teknolojia ya usaidizi wa mwamuzi (VAR) itaanza kutumika katika mechi za Ligi Kuu Bara kufuatia makosa ya kibinadamu yanayoonekana mara kwa mara, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefichua kuwa zimebaki hatua mbili kabla ya kuanza kuitumia. …

Read More

Yanga yaitibulia Simba, Backer akiri!

KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker ameeleza kile kipigo ilichopokea Singida Black Stars cha mabao 3-0 kutoka kwa Yanga, kwao kimewaongezea ugumu wanapokwenda kukutana na Walima Alizeti hao, lakini wamejipanga kufanya kweli. Barker ameliambia Mwanaspoti: “Pamoja na ugumu huo, nimewajenga wachezaji kimbinu na…

Read More

Japani na Kazakhstan Zinakaribia Wakati Mgogoro wa Iran Unavyobadilisha Vipaumbele vya Nishati na Usalama – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na Katsuhiro Asagiri (Tokyo, Japan) Jumanne, Aprili 07, 2026 Inter Press Service TOKYO, Japan, Aprili 7 (IPS) – Wakati mvutano unaoizunguka Iran unavyozidi kuongezeka na kutokuwa na uhakika kukienea katika soko la nishati duniani, Japan kwa mara nyingine inakabiliwa na udhaifu wa kimuundo: utegemezi wake mkubwa kwa mafuta ya Mashariki ya Kati. Kwa miongo…

Read More