Sido kuwakutanisha pamoja wajasiriamali | Mwananchi

Shinyanga. Zaidi ya Wajasiriamali 600 kutoka Tanzania bara na visiwani wanatarajia kushiriki maonesho ya kitaifa ya Shirika la maendeleo la Viwanda vidogo (Sido) ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kuonyesha bidhaa zinazozalishwa nchini kwa kutumia teknolojia na kuinuwa viwanda vidogo. Hayo yameelezwa leo Aprili 10, 2026 na Mkurugenzi mkuu wa Sido Profesa Silyvesta Mpanduji wakati wa…

Read More

Simba, Azam katika msako mgumu Ligi Kuu ya NBC

LIGI Kuu Bara Alhamisi hii, Aprili 9, 2026, inaendelea na kama utafuatilia basi tambua kwamba macho yote yatakuwa kule Kaskazini katika mikoa ya Arusha na Manyara ambapo kutakuwa na dakika 180 ngumu kutoka kwa timu nne tofauti zikiwa na hesabu ngumu zikiwahusisha Azam na Simba. Tuanzie pale Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ambapo Simba itakuwa…

Read More

Tume ya Oktoba 29, yaongezewa tena siku 21

Dar es Salaam. Baada ya kufanya kazi kwa takriban miezi minne, hatimaye Tume ya Rais ya kuchunguza matukio ya kabla na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 imeomba na kuongezewa tena muda wa siku nyingine 21 kukamilisha kazi. Hiyo ni nyongeza ya pili ya muda kwa Tme hiyo, ambayo Februari 20, mwaka huu iliongezewa…

Read More

Stanbic yashinda tuzo benki bora kwa wateja maalumu

Dar es Salaam. Benki ya Stanbic imeibuka kinara kwa kushinda tuzo tatu za kimataifa za Benki Bora ya Kimataifa kwa Wateja Maalumu, Benki Bora kwa Kizazi Kijacho, na Benki Bora kwa Huduma kwa Wateja. Ushindi huo unaonesha mchango wake katika kusaidia wateja wa Tanzania kujenga, kukuza na kulinda ukwasi wao kwa mtazamo wa muda mrefu…

Read More

Minara mipya 600 ya simu kujengwa Tanzania

Dar es Salaam. Serikali inajiandaa kuanza ujenzi wa minara mipya 600 katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, huku Kamati ya Bunge ya Miundombinu ikisisitiza usimamizi wa ubora wa miundombinu hiyo ili kuhakikisha inakidhi mahitaji ya wananchi. Agizo hili limetolewa kufuatia malalamiko ya minara isiyokuwa na ubora, ambayo husababisha kushindwa kutoa huduma bora, hasa katika maeneo…

Read More

Mvua zaharibu barabara, RC Mtambi aomba fedha za dharura

Musoma. Serikali ya Mkoa wa Mara imeomba Sh16 bilioni kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kugharamia matengenezo makubwa ya dharura ya barabara zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tarura) mkoani humo. Ombi hilo limechochewa na uharibifu mkubwa wa barabara uliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha, ambazo zimeelezwa kuwa hazikutarajiwa kwa…

Read More

Mwigulu Nchemba Akagua Madhara ya Moto Soko la Simu 2000 Ubungo

Global Publishers April 6, 2026 0 Comments WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 6, 2026 amekagua madhara yaliyosababishwa na ajali ya moto katika soko la wafanyabiashara wadogo la Simu 2000 lililopo Ubungo. Moto huo ulitokea Aprili 4, 2026 na kusababisha uharibifu mkubwa, ambapo takribani vibanda 500 vya wafanyabiashara wadogo viliteketea kabisa, hali iliyowaacha wengi…

Read More

WAJA ATOA SADAKA KWA MISIKITI 65 GEITA MJINI

Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Chacha Wambura, ametoa tende kwa misikiti 65 iliyopo katika jimbo lake ikiwa ni sadaka kwa waumini wa dini ya Kiislamu wanaoendelea na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Akizungumza wakati wa zoezi la kugawa tende hizo, Mbunge Wambura amesema amefanya hivyo kama sehemu ya sadaka yake kwa waumini wa…

Read More