LIVE: The Citizen Rising Woman 2026

Dar es Salaam. Wadau wakiwamo wanawake zaidi ya 400 kutoka sekta mbalimbali nchini, wakishiriki Jukwaa la Sita la The Citizen Rising Woman Initiative (RWI) linalofanyika muda huu katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. LIVE: The Citizen Rising Woman 2026 Jukwaa hili…

Read More

Ceasiaa yapania pointi 18 nyumbani

KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema mipango ya timu hiyo ni kuvuna pointi 18 katika mechi sita za nyumbani zilizosalia ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kumaliza nne bora. Ceasiaa iko nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi ikikusanya pointi nane kwenye mechi 11 ilizocheza, ushindi mara mbili, sare saba na kupoteza mbili. Akizungumza…

Read More

Wadau watia neno vyeti kudhamini mikopo

Dom/Dar. Wakati Serikali ikisema ipo mbioni kupeleka bungeni muswada wa sheria utakaoruhusu vyeti vya taaluma kutumika kama dhamana ya mikopo, wadau wa uchumi na vijana wanashauri hatua hiyo iende sambamba na mifumo madhubuti ya utekelezaji ili kuepusha hatari zinazoweza kujitokeza kwa wakopaji na wakopeshaji. Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, leo Alhamisi,…

Read More

Bodaboda 3,000 wamepatiwa mafunzo udereva salama Mara

Musoma. Zaidi ya bodaboda 3,000 mkoani Mara wamepatiwa mafunzo ya udereva salama na sheria za usalama barabarani, katika mkakati wa Serikali mkoani humo kupunguza ajali zinazotokana na uendeshaji usiozingatia taratibu. Awali, bodaboda hao walikuwa wakifanya shughuli zao bila leseni wala mafunzo rasmi ya udereva, hali iliyochangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa ajali za barabarani. Hayao…

Read More

Mabadiliko ya Utawala Usiokubalika nchini Irani na Jinsi Vita Vinavyoathiri Ulimwengu – Masuala ya Ulimwenguni

Ali Khamenei aliyefariki akikabidhi bendera ya Iran kwa picha ya kioo ya mtoto wake, Mojtaba Khamenei. Kutoka kwa wavuti https://english.khamenei.ir/ Maoni na Jan Lundius (Stockholm, sweden) Alhamisi, Machi 12, 2026 Inter Press Service STOCKHOLM, Uswidi, Machi 12 (IPS) – Vita vya Marekani/Israel dhidi ya Iran vinaweza kuwa kama kuchafua kiota cha mavu, kueneza hofu na…

Read More

Kila Mechi ni Nafasi ya Wewe Kukupatia Ushindi

USHINDI Mnono unakusubiri leo ndani ya Meridianbet kwani hapa unapata, Odds kubwa, Machaguo zaidi ya 1000 na mengine mengi. Ili kubashiri sasa ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo. LALIGA kule Hispania kuna mechi zinazoendelea Villarreal atamenyana dhidi ya Elche ambao wanashika nafasi ya 17 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 4 hadi sasa kwenye…

Read More