Marekani Yatoa Onyo la Mwisho kwa Iran Kuhusu Shambulio la Qatar

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa Iran, akisisitiza kuwa taifa hilo litakumbana na hatua kali iwapo litaendelea na mashambulizi dhidi ya miundombinu ya nishati katika eneo la Ghuba, hasa Qatar. Kupitia ujumbe aliouchapisha katika mtandao wa Truth Social, Trump alieleza kuwa Marekani haikuhusika kwa namna yoyote na shambulio la hivi karibuni lililofanywa…

Read More

KASULU YAZIDI KUNUFAIKA NA MALIASILI NA UTALII

……… Na Sixmund Begashe, Dodoma Wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini wameendelea kunufaika na uwepo wa mwekezaji katika kitalu cha Makere Forest Reserve kwa kupata mgao wa fedha za maendeleo ya jamii zaidi ya  Shilingi Milioni 12 kila mwaka kinacholipwa na mwekezaji kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya vijiji. Hayo yamesemwa Bungeni…

Read More

TUME YA MADINI YA ONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI KWA VIJANA

………  Na Ester Maile, DODOMA  TUME ya Madini kupitia Wizara ya Madini itaendelea kushirikiana na kundi la vijana katika kuhakikisha rasilimali iliyopo inawanufaisha ipasavyo pamoja na Taifa kwa ujumla ambapo dhamira ya dhati ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha rasilimali hiyo inawanufaisha Watanzania hususan vijana. Hayo yamesemwa leo Machi 16,2026 jijini Dodoma na…

Read More

Wanne washikwa mkono gofu kimataifa

WAKATI mashindano ya gofu kwa chipukizi Afrika yakianza jana Jumatatu nchini Kenya, Benki ya NCBA imejitolea kuwadhamini watoto wanne watakaoiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo. Watoto hao wanatarajia kuibeba Tanzania katika mashindano yatakayofanyika kati ya Machi 23 hadi 26 mwaka huu nchini Kenya katika Jiji la Nairobi. Watoto hao wanaoiwakilisha Tanzania ni Ibrahim Juma, Julius James,…

Read More

Uhamiaji yatoa mwelekeo mechi 10 ZPL

MWENYEKITI wa timu ya Uhamiaji inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Ali Juma Abdulkadir amesema kipindi cha mapumziko kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kimewafanya wachezaji kupumzisha miili yao. Alisema hilo limekuwa ahueni kwao ikizingatiwa mechi 10 za mwisho zitachezwa mfululizo, hivyo limewajenga vizuri kimwili na kiakili. Mwenyekiti huyo alisema Uhamiaji ya msimu wa 2025-2026…

Read More

Barberian FC yanyatia rekodi mbovu Championship

TIMU ya Barberian, inanyemelea rekodi mbovu msimu huu katika Ligi ya Championship, baada ya kikosi hicho ambazo zamani kilikuwa kinafahamika kwa jina la Kiluvya United, kushinda mechi moja tu hadi sasa kati ya 19 ilizocheza, kikiwa mkiani. Katika mechi hiyo moja ambayo kikosi hicho imeshinda msimu huu, ilikuwa ya ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya…

Read More