LIVE: The Citizen Rising Woman 2026

Dar es Salaam. Wadau wakiwamo wanawake zaidi ya 400 kutoka sekta mbalimbali nchini, wakishiriki Jukwaa la Sita la The Citizen Rising Woman Initiative (RWI) linalofanyika muda huu katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. LIVE: The Citizen Rising Woman 2026 Jukwaa hili…

Read More

Manusura ajali ya boti Kigoma, wafunguka

Kigoma. Majeruhi walionusurika katika ajali ya boti iliyouwa saba, wakiwemo watumishi wanne wa idara ya afya mkoani Kigoma, wamesimulia mkasa mzima hadi kutokea kwa tukio hilo. Ajali hiyo, ilitokea Machi 13, 2026 katika Kijiji cha Kalalangabo ndani ya Ziwa Tanganyika, saa 2 asubuhi na mwili wa mtu mmoja hadi sasa bado haujapatikana. Majeruhi hao, wametoa…

Read More

Watoto wa Sudan ni kizazi kilicho hatarini

Shirika hilo linasema zaidi ya watu milioni 12 wako hatarini kukabiliwa na ukatili wa kijinsia. “Watoto wanauawa, waliojeruhiwa, na kuhamishwa, ukiukwaji mkubwa wa haki ukiripotiwa kila siku. Wengine wanalazimishwa na kujiunga na silaha silaha, utumwa wa watoto, na ndoa za mapema,” Alisema Lucia Elmi mkurugenzi wa dharura wa UNICEF. Madhara ya kupoteza ni makubwa, mizozo,…

Read More

Meridianbet Kuendeleza Biashara na Mshikamano wa Jamii Dar

Global Publishers February 27, 2026 0 Comments Meridianbet inathibitisha dhamira yake ya kusaidia jamii kwa hatua thabiti ya kutoa msaada wa vyakula na mahitaji muhimu kwa familia zenye uhitaji wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mpango huu ni sehemu ya mkakati mpana wa kampuni kuhakikisha maendeleo ya biashara yanashirikiana kwa karibu na ustawi wa wananchi….

Read More