MBUNGE VUNJO APONGEZWA KWA KUSAMBAZA MICHE LAKI TANO YA KAHAWA
Na Ashrack Miraji Torch Media Wakulima wa kahawa katika Kata za Kilema Kati na Kilema Kaskazini, wilayani Moshi, wamepongeza juhudi za Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Enock Koola, kwa kuwezesha upatikanaji wa miche laki tano ya kahawa ili kufufua zao hilo muhimu kiuchumi. Pongezi hizo zimetolewa Machi 19, 2026 wakati wa ziara ya siku ya…