Wacongo kumpa muhula wa Denis Sassou Nguesso?
Dar es Salaam. Wananchi wa Jamhuri ya Kongo (Congo Brazzaville), wamepiga kura leo Jumapili Machi 15, 2026 kumchagua Rais wao mpya katika uchaguzi ambao wachambuzi wengi wanaona unaweza kumrejesha tena madarakani kiongozi mkongwe, Denis Sassou Nguesso. Takribani wapiga kura milioni 3.2 walijiandikisha kushiriki katika uchaguzi huo, lakini mchakato umeingia katika mjadala mkali baada ya vyama…
Mzenji TMA FC afunguka dili la Yanga
KOCHA wa TMA FC, Mzanzibar Haji Ali Nuhu, amesema hadi sasa hakuna makubaliano rasmi yaliyofikiwa kati yake na uongozi wa Yanga, kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu za vijana, akiungana na Mohamed Badru, aliyewahi kufanya naye kazi. Kocha, Badru ambaye kwa sasa anasimamia programu ya Yanga Soccer School, iliyozinduliwa rasmi tangu, Novemba 15,…
Wanne washikwa mkono gofu kimataifa
WAKATI mashindano ya gofu kwa chipukizi Afrika yakianza jana Jumatatu nchini Kenya, Benki ya NCBA imejitolea kuwadhamini watoto wanne watakaoiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo. Watoto hao wanatarajia kuibeba Tanzania katika mashindano yatakayofanyika kati ya Machi 23 hadi 26 mwaka huu nchini Kenya katika Jiji la Nairobi. Watoto hao wanaoiwakilisha Tanzania ni Ibrahim Juma, Julius James,…
Hii ni safari mpya ya Kagoma Simba
BAADA ya kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma kuongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo, ameelezea safari yake mpya namna alivyo na kazi ya kuhakikisha mchango wake unakuwa muhimu katika kutimiza malengo ya timu. Kagoma aliyezaliwa Gungu, Kigoma Aprili 3, 1996 na sasa ana umri wa miaka 29), alijiunga na Simba Julai 8,…
Serikali yajifunga kitanzi maji ya uhakiki mradi wa Same–Mwanga–Korogwe
Mwanga. Serikali kupitia Wizara ya Maji imesema itaendelea kuhakikisha wananchi wanaozungukwa na mradi mkubwa wa maji wa Same–Mwanga–Korogwe wanapata huduma ya maji safi na salama kwa uhakika wakati wote. Hatua hiyo inalenga kuboresha maisha ya wananchi pamoja na kulinda afya za jamii zinazoishi katika maeneo yanayonufaika na mradi huo. Akizungumza leo Jumanne Machi 17, 2026…
Aliyekuwa Anawauza Wakenya Kujiunga Na Jeshi Urusi Akamatwa
Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Idara ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imemkamata mshukiwa mmoja anayedaiwa kuhusika katika mtandao wa kuwarubuni raia kujiunga na jeshi la Urusi kupitia ahadi za kazi bandia nje ya nchi, tukio linaloibua hofu mpya kuhusu biashara haramu ya binadamu inayovuka mipaka ya mataifa. Katika taarifa…
Ukimya wa Inter Milan Wazaa Matokeo Makubwa Serie A
Vinara wa SERIE A, Inter Milan wameendelea kuwa na wakati mzuri baada ya kuendelea kufanya vizuri kwenye mashindano hasa ya ndani. Bashiri mechi zote za Inter na Meridianbet leo. Kulikuwa na kitu tofauti kidogo kuhusu Inter msimu huu. Si kelele nyingi, si presha za nje bali ukimya wa timu inayojitafuta upya. Kuanzia raundi za mwanzo…
Video: Dubai Yaimarisha Usalama Baada ya Shambulio la Droni Kutoka Iran
Global Publishers March 4, 2026 0 Comments Ubalozi wa Marekani ulioko mjini Dubai katika United Arab Emirates ulishambuliwa kwa droni usiku wa Jumanne, Machi 3, 2026. Droni hiyo, inayodaiwa kutoka Iran, ilisababisha mlipuko mdogo na moto karibu na eneo la maegesho ya magari la ubalozi. Kwa mujibu wa mamlaka za UAE, droni iliingia katika anga ya…