Uingereza kutegemea mifumo ya Marekani kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Iran
Uingereza italazimika kutegemea mifumo ya ulinzi wa makombora ya Marekani iliyoko Ulaya iwapo Iran itafanya shambulizi la roketi dhidi ya nchi hiyo, sawa na lile lililojaribiwa kulenga kisiwa cha Diego Garcia mwishoni mwa wiki hii. Onyo hilo limetolewa baada ya Iran kurusha makombora mawili ya balistiki usiku wa kuamkia Ijumaa iliyopita kuelekea kambi iliyoko Bahari…