Vijana 3,967 waomba fedha kuendeleza biashara zao

Dar es Salaam. Benki ya CRDB imepokea maombi 3,967 kutoka kwa vijana wajasiriamali nchini kupitia mradi wake wa Go Green na Imbeju ili wapate mitaji ya kuendeleza mawazo yao ya kibunifu, huku mikoa 10 ikiwa kinara, ikiwemo Dar es Salaam na Mwanza. Programu hiyo ilizinduliwa Februari 12 mwaka huu ikiwa na lengo la kuwawezesha vijana…

Read More

Okello amuibua Pedro Yanga | Mwanaspoti

DAKIKA 626 alizocheza kiungo wa Yanga, Allan Okello katika Ligi Kuu Bara akihusika na mabao matatu kufuatia kufunga mawili na asisti moja, imemfanya kocha wa timu hiyo, Pedro Goncalves kusema kijana huyo kutoka Uganda anapambana kufanya kazi nzuri. Pedro alibainisha kwamba, kiungo mshambuliaji huyo anayetumia zaidi mguu wa kushoto, namba zake zimeendelea kuwapunguzia presha Pacome…

Read More

NAIBU KATIBU MKUU CCM ZANZİBAR AHIMIZA VIONGOZI,WANACHAMA KUDUMISHA AMANI

Na Mwandishi Wetu NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt. Mohammed Said Mohammed (DIMWA), amewahimiza viongozi na wanachama wa Chama hicho kuendelea kudumisha amani na utulivu nchini, sambamba na kushiriki kikamilifu katika kukijenga na kukiimarisha chama. Ametoa mwito huo alipokuwa akizungumza katika hafla ya futari ya pamoja aliyoiandaa katika Ofisi Kuu ya…

Read More

Nini Kinachohitajika Kuondoa Ugonjwa katika Visiwa vya Pasifiki – Masuala ya Ulimwenguni

Dk Anasaini Cama wa Wakfu wa Fred Hollows aendesha mafunzo ya magonjwa ya kitropiki katika Visiwa vya Solomon. Credit: Shea Flynn/RTI International na Catherine Wilson (sydney, australia) Jumatano, Februari 25, 2026 Inter Press Service SYDNEY, Australia, Februari 25 (IPS) – Mataifa mawili ya Visiwa vya Pasifiki yamepongezwa kwa mafanikio yao katika kampeni ya kimataifa ya…

Read More