UNDP, UINGEREZA WATOA ZAIDI YA TSH MILIONI 70 KUIMARISHA BIASHARA BUNIFU ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU TANZANIA

Mpango huo unatekelezwa na UNDP kupitia Mradi wa FUNGUO kwa ushirikiano na Serikali ya Uingereza kupitia FCDO. Ushirikiano huo unalenga kuimarisha mfumo wa ubunifu nchini kwa kuwaunganisha wanafunzi na ushauri elekezi, fursa za ufadhili pamoja na mazingira yatakayosaidia mawazo yao kukua na kuwa biashara endelevu. Kabla ya kutangazwa kwa washindi, timu za wanafunzi zilipata mafunzo…

Read More

Vikwazo kwa zao la tende vyawekwa hadharani, wanaume wakitajwa kuongeza thamani

Dodoma. Changamoto ya upatikanaji wa miche bora ya tende pamoja na masharti yanayowekwa na nchi zinazolima zao hilo zimetajwa kuwa miongoni mwa vikwazo vinavyokwamisha ukuaji wa kilimo cha tende nchini. Kutokana na vikwazo hivyo, wakulima wengi wameendelea kutumia mbegu za zamani, ambazo zinaelezwa kuwa hazina tija katika kipindi hiki. Hali hii inajitokeza wakati mahitaji ya…

Read More

Wanaanga wanne waliokwenda mwezini wavunja rekodi

Chombo cha anga za juu cha Artemis II pamoja na wanaanga wake wanne kimepenya kwa kasi katika anga la dunia na kutua salama katika Bahari ya Pasifiki jana Ijumaa, baada ya kutumia takribani siku 10 angani kimehitimisha safari ya kwanza ya binadamu kuuzunguka mwezi katika kipindi cha zaidi ya nusu karne. Chombo hicho cha Shirika…

Read More

Nani kujaza nafasi ya Kiongozi Mkuu wa Iran?

Kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei katika mashambulizi ya anga ya Marekani na Israel, kumeiweka Iran njia panda wakati uongozi wa juu wa nchi hiyo ukianza mchakato wa kumtafuta mrithi wake. Viongozi kadhaa waandamizi waliokuwa karibu na Khamenei pia wameripotiwa kuuawa katika shambulizi hilo, akiwemo mshauri wake mkuu wa usalama, Ali Shamkhani,…

Read More

Wajasiriamali Musoma wanufaika na msaada wa vifaa

Musoma. Wajasiriamali wadogo wa saluni za kike na kiume zaidi ya 60 wamepewa vifaa vya kazi kwa ajili ya kuboresha shughuli zao huku wakitakiwa kurasimisha biashara hizo ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea, endapo hawatafanya hivyo. Msaada huo wa mashine za kukaushia nywele, za kunyolea, majaketi, sabuni na spiriti,umetolewa na Mbunge wa Viti Maalumu, Agnes Marwa….

Read More

Josiah afichua ishu ya Ally Salim

LICHA ya kipa namba moja wa Dodoma Jiji, Ally Salim kukosekana uwanjani kutokana na majeraha ya bega, lakini kocha Amani Josiah amesema hatakuwa na haraka ya kumtumia, kwani lengo ni kumuona akiwa fiti zaidi. Akizungumza na Mwanaspoti, Josiah amesema kipa huyo anaendelea na programu maalumu ya madaktari wa kikosi hicho, ingawa muda si mrefu mashabiki…

Read More

NYERERE ALIKUWA MTETEZI WA WANAWAKE, ALIANDIKA KITABU HAKIJACHAPISHWA-WASIRA

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema mawazo ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere akiwa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda aliandika kitabu cha kutetea wanawake ingawa kitabu hicho hakijachapishwa hadi amefariki. Wasira ameyasema hayo leo Februari 10, 2026 katika kongamano la kumbukizi ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere,…

Read More

Haji Manara Azungumzia Mchango wa Ssebo Kwenye Tasnia ya Habari ‘Tumepoteza Mtu Muhimu’ – Video

Global Publishers March 13, 2026 0 Comments Diwani wa Kata ya Kariakoo, Haji Manara, amezungumzia kuhusu marehemu Denis Busulwa almaarufu Ssebo, akimwelezea kama mtu aliyekuwa na moyo mkubwa wa kusaidia watu na aliyependa kuwa karibu na jamii enzi za uhai wake. Manara amesema Ssebo alikuwa mtu mwenye upendo na mshikamano mkubwa, ambaye alijenga urafiki na…

Read More