Kituo cha Afya Kataryo kusogeza huduma kwa wananchi

Zaidi ya wakazi 13,200 wa Kata ya Tegeruka pamoja na vijiji jirani katika Wilaya ya Musoma Vijijini mkoani Mara wanatarajiwa kuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya kwa ngazi ya kituo cha afya na kuendelea baada ya Serikali kutoa Sh250 milioni kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Kituo cha Afya Kataryo….

Read More

Laizer aondoka Fountain Gate kwa amani

ALIYEKUWA Kocha wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema licha ya kuachana nayo hana kinyongo na jambo lolote, huku akisifia uhusiano mzuri aliokuwa nao kuanzia kwa wachezaji wa kikosi hicho na hadi viongozi kiujumla. Uongozi wa timu hiyo, uliachana na Laizer Aprili 10, 2026, baada ya matokeo mabaya ya mechi za Ligi Kuu msimu wa…

Read More

AG awataka watumishi wa umma kulinda taswira ya Serikali

Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, amewataka watumishi wa umma kuepuka vitendo vinavyoathiri taswira ya Serikali na utumishi wa umma. Amewataka watumishi hao kuhakikisha wanawajibika ipasavyo kama kanuni na taratibu za utumishi wa umma zinavyowaelekeza. Johari ametoa wito huo leo Machi 6, 2026, wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi…

Read More