FCC Yaimarisha Ulinzi wa Mlaji Katika Soko la Vifaa vya Ujenzi

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Tume ya Ushindani (FCC) imesema wazalishaji wa vifaa vya ujenzi wana wajibu wa kumlinda mlaji kwa kuhakikisha wanazalisha na kuuza bidhaa zenye ubora unaolingana na thamani ya fedha anayolipa mnunuzi. FCC imeeleza kuwa ni muhimu kwa wazalishaji kuzingatia viwango vinavyotakiwa katika uzalishaji wa vifaa vya ujenzi ili kuepusha uwepo…

Read More

CCM YATOA MAPENDEKEZO MAZITO KULINDA WANANCHI

…….. Na Carlos Claudio, Dodoma. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeitaka serikali kuchukua hatua za haraka na madhubuti kulinda uchumi wa wananchi kufuatia kupanda kwa bei za mafuta nchini na duniani kwa ujumla. Akizungumza na waandishi wa habari Aprili 7, 2026 jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Kihongosi, amesema chama hicho…

Read More

Takukuru yatangaza ajira mpya 500, vigezo hivi hapa

Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetangaza nafasi 500 za ajira kwa Watanzania wenye sifa, hatua inayolenga kuimarisha mapambano dhidi ya rushwa katika ngazi za wilaya kote nchini. Kwa mujibu wa tangazo hilo, nafasi zilizotangazwa zinahusisha ofisa uchunguzi 250 pamoja na wachunguzi wasaidizi 250, watakaofanya kazi katika ofisi za Takukuru…

Read More