BODI MPYA YA NCT YATAKIWA KUSIMAMIA UBORA NA UKARIMU KWA WATEJA
…………… Na. Sixmund Begashe, DSM Bodi mpya ya Ushauri ya Wizara ya Wakala wa Chuo cha Utalii Tanzania , imeelekezwa kufanya tafiti na kuboresha mitaala ya Chuo hicho ili kiendelee kuzalisha wataalam wenye sifa na ubora zaidi hususan katika eneo la huduma kwa wateja na ukarimu. Wito huo umetolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii…