Migogoro ya ardhi na mirathi inavyowatesa wananchi

Tanga. Imeelezwa kuwa, migogoro ya ardhi na mirathi imeendelea kuwa chanzo cha malalamiko kwa wananchi nchini, hali iliyosababisha maelfu ya watu kutafuta ushauri kupitia kliniki za sheria zinazoendeshwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Kupitia kliniki hizo, mawakili hushughulikia mashauri mbalimbali kwa kutoa ushauri wa kisheria na kuelekeza hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili wananchi wapate…

Read More

Hii ndiyo sababu – Masuala ya Ulimwenguni

Vingi vya vifo hivi vinaweza kuzuilika kwa njia zilizothibitishwa, za gharama ya chini na upatikanaji wa huduma bora za afya, ripoti inasisitiza. Kwa mara ya kwanza, uchambuzi unatoa picha kamili ya sio tu ni watoto wangapi wanakufa na wapi – lakini pia kwa nini, kwa kuunganisha kikamilifu makadirio ya kimataifa juu ya sababu za kifo….

Read More

TWCA yagawa vitabu kuhamasisha masomo ya biashara

Dodoma. Katika juhudi za kuimarisha elimu na kuwajengea wanafunzi msingi imara wa taaluma za biashara, Chama cha Wanawake Wahasibu Tanzania (TWCA) kimetoa msaada wa vitabu 310 vya masomo ya biashara kwa Shule ya Sekondari Chinangali. Hatua hiyo imekuja kama mwanga mpya kwa wanafunzi waliokuwa wakikabiliwa na changamoto ya uhaba wa vitabu, hali iliyokuwa ikiathiri uelewa…

Read More

BALOZI KAGANDA ATEMBELEA OFISI ZA TPA NCHINI ZIMBABWE

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, ametembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA) zilizopo mjini Harare na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa TPA nchini humo, Bi. Kulthum Boma kuhusu namna ya kuimarisha huduma na kuongeza ufanisi katika usafirishaji wa mizigo kupitia bandari za Tanzania. Ziara ya Mheshimiwa Balozi…

Read More