KASULU YAZIDI KUNUFAIKA NA MALIASILI NA UTALII

……… Na Sixmund Begashe, Dodoma Wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini wameendelea kunufaika na uwepo wa mwekezaji katika kitalu cha Makere Forest Reserve kwa kupata mgao wa fedha za maendeleo ya jamii zaidi ya  Shilingi Milioni 12 kila mwaka kinacholipwa na mwekezaji kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya vijiji. Hayo yamesemwa Bungeni…

Read More

Jeshi la Polisi lawashikilia wawili kwa mauaji ya Nyanza

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa wawili wanaohusishwa na mauaji ya Athumani Nyanza, ambaye mwili wake ulipatikana ukiwa umefukiwa kwenye shimo karibu na nyumba yake Mtaa wa Kimya Kimya, Kata ya Zingiziwa, Chanika. Taarifa za awali zinaeleza kuwa marehemu Nyanza anadaiwa kuuawa na mpenzi wake, kabla ya…

Read More

Familia yaiangukia Serikali kupotea kwa mtoto wao

Mbeya. Zikiwa zimepita siku 12 tangu kutoweka kwa mtoto Frank Aliko (10), familia yake imeiangukia Serikali ikiitaka kufanya uchunguzi wa kiintelenjia kufanikisha kupatikana kwake. Frank (10), mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Ikulu iliyopo Kata ya Ilomba, Halmashauri ya Jiji la Mbeya, inadaiwa ametoweka nyumbani tangu Machi 4, 2026 baada ya kupelekwa…

Read More

SBL Yazindua Rasmi Serengeti Premium Apple, Kinywaji Ambacho Kimetengenezwa Tanzania

Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua rasmi Serengeti Premium Apple, ikiweka historia kama kinywaji cha kwanza chenye hadhi ya juu ‘Ready-to-Drink (RTD)’ kutengenezwa hapa nchini Tanzania. Uzinduzi huu unalenga kubadili mtazamo wa soko ambalo kwa muda mrefu limetawaliwa na bidhaa za kuagiza kutoka nje ya nchi, kwa kuanzisha bidhaa ya kisasa, ya kiwango cha kimataifa, iliyobuniwa…

Read More

DKT.JAFO HAKUNA KULALA: AENDELEZA KAMPENI YA “KILA MTU ATIBIWE KWAO” KISARAWE

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe,Mhe.Dkt. Selemani Jafo, ameendelea kuonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha huduma za afya kupitia kampeni yake ya “Kila Mtu Atibiwe Kwao”, inayolenga kuhakikisha kila kijiji kinakuwa na zahanati ili kusogeza huduma karibu na wananchi. Akiwa katika ziara ya kuwashukuru wananchi wa Kitongoji cha Kola, Jafo amechangia tofali 1,500 kwa ajili…

Read More

‘Tumuenzi Karume kwa kutenda haki, tusibaguane’

Unguja. Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi wamewaomba wananchi kuendelea kuenzi mchango uliotolewa na aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume kwa kuendeleza maono yake, kutenda haki bila ubaguzi kama alivyofanya yeye. Wamesema hayo leo Jumanne, Aprili 7, 2026 siku ya kumbukizi ya kifo chake na waliposhiriki…

Read More