Iran Yakataa Kusitisha Vita, Yataka Mwisho wa Kudumu wa Mapigano
Mvutano kati ya Iran, Israel na Marekani umeingia hatua mpya baada ya Tehran kukataa pendekezo la karibuni la kusitisha mapigano, ikisisitiza kuwa haitokubali suluhu ya muda mfupi bali mwisho wa kudumu wa vita. Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Iran (IRNA), majibu hayo yamewasilishwa kwa Marekani kupitia Pakistan, mmoja wa wapatanishi wakuu…