Tundu Lissu Aomba Kujumuishwa Kwenye Mgawanyo wa Mali za CHADEMA
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imesikiliza maombi Na. yanayotokana na shauri la madai Na.8323/2025, maombi yaliyoletwa Mahakamani hapo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu Wajibu maobi hapo ni wadaawa wote walioko kwenye shauri la madai Na. 8323/2025 linalohusu usawa kwenye mgawanyo wa mali kati…