NIKWAMBIE MAMA: Wafanyabiashara acheni kuingilia miundombinu
Wakati huu wa mifungo mitakatifu tunapaswa kumrudia Mwenyezi Mungu kwa nguvu zote. Baada ya kujisahau kwa muda mrefu, mwanadamu hana budi kutubu, kuomba msamaha na kufanya matendo ya huruma japo kwa mwezi huu mmoja na siku kadhaa. Kimsingi muda huu ni mfupi sana ukizingatia kuwa hayo yanatakiwa kufanywa katika maisha yetu yote. Lakini mwezi huu…