Alhaj Mavumbi akemea ukatili kwa watoto ataka wananchi kuchukua hatua
Tabora. Waumini wa Dini ya Kiislamu mkoani Tabora wametakiwa kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ili kuwapa fursa ya kufikia ndoto zao na kuishi katika mazingira salama. Wito huo umetolewa leo Jumamosi Machi 21, 2026 na Sheikh wa Mkoa wa Tabora, Alhajji Sheikh Ibrahim Mavumbi alipokuwa akitoa hotuba ya Idd El-Fitr baada…