Rais Trump Ahudhuria Hafla ya Kuaga Wanajeshi 6 Waliouawa Mashariki ya Kati – (Picha +Video)

Global Publishers March 8, 2026 0 Comments Rais wa Marekani, Donald Trump, amehudhuria hafla maalum ya kuwaenzi wanajeshi sita wa Marekani waliopoteza maisha yao kufuatia shambulio lililohusishwa na Iran katika kambi ya kijeshi nchini Kuwait. Hafla hiyo iliwakutanisha viongozi wa juu wa kijeshi, familia za wanajeshi waliouawa pamoja na maafisa wa serikali ya Marekani, ambapo…

Read More

MELI NNE ZA MIZIGO KUIPAISHA TANZANIA

…… Kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha kaya na Taifa. Ujenzi wa meli hizo ulianza rasmi Aprili 2025 na ukitarajiwa kukamilika Julai 2026. Mpaka sasa mradi huo umefikia…

Read More

Profesa Mahalu aagwa Dar, wanazuoni wasema…

Dar es Salaam. Mwili wa mwanadiplomasia na mwanazuoni nguli, Profesa Costa Mahalu umeagwa jijini Dar es Salaam, huku wanazuoni na wanasiasa wakimtaja kuwa miongoni mwa viongozi waliopenda kuibua vipaji na kuendeleza vijana waliokuwa vyuoni. Mbali na hilo, wamesema Profesa Mahalu ambaye alikuwa Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Mt Augustine (Saut) alikuwa mhamasishaji mnyenyekevu, mpenda…

Read More

Mayele afufuka baada ya siku 122

MSHAMBULIAJI wa Pyramids FC na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Mayele amemaliza ukame wa siku 122 baada ya juzi kufunga bao la Ligi Kuu ya Misri katika mechi ya ushindi wa mabao 3-1 wa timu hiyo dhidi ya Ghazl El Mahallah. Mara ya mwisho kwa nyota huyo wa zamani wa Yanga kufunga katika…

Read More

The Blood of Sudan Must Never Be Silenced

By Moses Ntandu, Dar es Salaam, Tanzania On the land of Sudan, this month of Ramadan has not arrived with peace or hope. Instead, it has come to a country exhausted by war, torn apart by pain, and immersed in the grief of thousands of families who have lost their loved ones. The capital city,…

Read More

TANZANIA KUENDESHA MAFUNZO, KONGAMANO LA USHIRIKISHWAJI WA WANAWAKE KWENYE USULUHISHI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA

Tanzania yafanya maandalizi ya kuendesha mafunzo na kongamano la ushirikishwaji wa wanawake kwenye usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala ili kuongeza idadi ya wanawake waliothibitishwa kwenye ngazi ya maamuzi na ushiriki kwenye utatuzi wa migogoro ndani na nje ya nchi. Hayo yameelezwa leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi…

Read More