MHE. MCHENGERWA ASHIRIKI SWALA YA EID EL FITRI KINONDONI
-Watanzania waaswa kulinda amani Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Machi 21, 2026 ameungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na waumini wa dini ya Kiislam kwenye Swala ya Eid El-Fitri katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI), Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Ibada hiyo…