WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF MKENDA AUPONGEZA UONGOZI WA MKINGA KUTENGA ENEO LA MJINI WA WANAZUONI GOMBERA

****** Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda ameupongeza uongozi Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kupitia Mwenyekiti wake Mhe.Amani Juma Kasinga kwa kutenga eneo la kujenga mji wa wanazuoni katika eneo hilo. Akizungumza mara baada ya kukamilisha ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo katika kampasi ya…

Read More

Wananchi Kalambo wamtaka DC Lijualikali mbele ya Dk Mwigulu

Dar es Salaam. Wananchi wa Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa wameonyesha wazi imani yao kwa Mkuu wa Wilaya (DC) anayekaimu, Peter Lijualikali, wakitaka aendelee kubaki katika nafasi hiyo baada ya kuonekana kushughulikia changamoto za wananchi ndani ya muda mfupi tangu aanze kuiongoza wilaya hiyo. Sauti hiyo ya wananchi ilisikika wazi wakati wa mkutano wa…

Read More

Chamou aendeleza rekodi dhidi ya Namungo

BEKI wa kati wa TRA United, Chamou Karaboue, ameendeleza rekodi bora katika Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya nyota huyo kufikisha mabao mawili, ambayo yote ameyafunga dhidi ya ‘Wauaji wa Kusini’, Namungo, huku akichezea timu mbili tofauti. Nyota huyo anayeichezea TRA United kwa mkopo akitokea Simba, alianza kufunga akiwa na kikosi hicho cha Msimbazi,…

Read More

Bilionea David Mulokozi Afanyiwa Birthday ya Kifalme, Banana Zoro Aitikisa Babati

Na Mwandishi Wetu. Babati, Manyara: Sherehe ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Mkurugenzi wa Mati Super Brands Ltd, Bilionea David Mulokozi, imegeuka kuwa somo la upendo na kuthaminiana baada ya mkewe, Doreen Mulokozi, kumuandalia tukio la kushtukiza lililogusa wengi. Katika sherehe hiyo iliyofanyika Babati Mjini na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali waalikwa, Doreen alimzawadia mumewe zawadi mbili…

Read More

Shambulio la bomu katika shule ya msingi ya Iran ‘ni ukiukaji mkubwa wa sheria ya kibinadamu’: UNESCO – Masuala ya Ulimwenguni

Makombora hayo yanaripotiwa kuharibu shule ya msingi ya msichana huko Minab, kusini mwa Iran, na kuua karibu 150 na kujeruhi karibu 100. Wanafunzi wengi wanaaminika kuwa miongoni mwa waliofariki. Katika a kauli iliyotolewa kwenye mitandao ya kijamii, UNESCO walionyesha kusikitishwa sana na athari za mashambulizi ya kijeshi, ambayo yaliendelea hadi Jumapili, na kubainisha kuwa wanafunzi…

Read More

TALGWU yatangaza safari ya kupata viongozi wapya

Dar es Salaam. Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), kinatarajiwa kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wapya kuanzia ngazi ya matawi hadi Taifa Aprili na kukamilika Septemba 2026. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa leo Jumatano Machi 18,2026 na Kaimu Katibu Mkuu wa TALGWU, Wandiba Ngocho, katika uchaguzi huo kutakuwa na uchaguzi mkuu wa…

Read More