Mbongo asaini miwili Uturuki | Mwanaspoti

MTANZANIA mwingine Emmanuel Mlefu amejiunga na Sisli Yeditepe inayoshiriki Ligi ya Walemavu Uturuki kwa mkataba wa miaka miwili. Mlefu anaungana na Mtanzania mwenzie Shedrack Hebron ambaye yupo klabuni hapo tangu msimu wa 2023 akitokea Sauti Para Sports ya Tanzania na ndiye aliyefanikisha dili hilo kwa kushawishi mabosi wa timu hiyo kumsajili. Akizungumza na Mwanaspoti, Hebron…

Read More

Kihongosi Akagua Mradi wa Soko la Milioni 577 Buchosa

Global Publishers March 11, 2026 0 Comments Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Cha Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi akiongea jambo akiwa na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo (Mwenye shati la Kitenge). Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Cha Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema uwekezaji katika miundombinu ya masoko ni…

Read More

AMBASSADOR STEPHEN PATRICK MBUNGI APOPOINTED NEW SECRETARY GENERAL OF THE EAC

:::::::::: The Government of the United Republic of Tanzania warmly welcomes the appointment of Ambassador Stephen Patrick Mbundi as the new Secretary General of the East African Community (EAC). Ambassador Stephen Patrick Mbundi is a senior Tanzanian diplomat and government official with over 28 years of professional experience. Prior to his appointment as Secretary General…

Read More

RAIS NDAYISHIMIYE AWASILI TANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA 25 JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ARUSHA.

:::::::::: Rais wa Jumhuri ya Burundi  Évariste Ndayishimiye amewasili katika Uwanja wa Ndega wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha.  Akiwasili Mkoani humo amepokelewa na…

Read More

Simulizi ya Othman miaka mitano ya visa, mkasa kwenye siasa

Miaka mitano imepita tangu Othman Masoud Othman alipoingia rasmi kwenye siasa, baada ya kuteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Machi Mosi, 2021 kupitia chama chake cha ACT Wazalendo. Othman, maarufu kama OMO, aliteuliwa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Maalim Seif Sharif Hamad, aliyefariki Februari 17, 2021 kiongozi wa siasa za upinzani visiwani…

Read More

Umuhimu wa sikukuu kwa biashara ndogo

Ingawa wengi huona kipindi cha sikukuu kama muda wa mapumziko na ibada, nyuma ya pazia kuna gurudumu kubwa la kiuchumi linalozunguka kwa kasi ya ajabu. Katika muktadha wa Tanzania, msimu huu si tu wakati wa kula pilau na kutembelea ndugu, bali ni “mzunguko wa dhahabu” kwa biashara ndogo na za kati (SMEs), hasa zile zilizoko…

Read More

Nafasi 14 Zatangazwa Maswa, Mwisho wa Maombi Aprili 13

Global Publishers April 6, 2026 0 Comments Halmashauri ya Wilaya ya Maswa imetangaza nafasi 14 za ajira kwa Watanzania wenye sifa, kufuatia kibali kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kwa mujibu wa tangazo hilo lililotolewa Machi 31, 2026, nafasi hizo zinahusisha kada ya madereva pamoja na waandishi waendesha ofisi….

Read More

Kuongezeka kwa Jua nchini Pakistani Kukabili Mgogoro wa Nishati wa Mashariki ya Kati – Masuala ya Ulimwenguni

Serikali ya Sindh imeanza kusambaza mifumo ya nishati ya jua kwa kaya 200,000 za kipato cha chini chini ya Mradi wa Nishati ya jua wa Sindh ili kuboresha upatikanaji wa umeme. Credit: Sindh People’s Housing kwa Walioathiriwa na Mafuriko na Zofeen Ebrahim (karachi, pakistan) Ijumaa, Machi 20, 2026 Inter Press Service KARACHI, Pakistani, Machi 20…

Read More