Azam yairudisha Yanga Benjamin Mkapa, yataja sababu

Azam imethibitisha kwamba mchezo wake dhidi ya Yanga, Jumapili, Machi 15, 2026 utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam Complex, Dar es Salaam. Ofisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’ amesema kuwa wameamua kucheza mechi hiyo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa vile wamiliki wamewapa ruhusa ya kuutumia kwa…

Read More

TABESA YAZINDUA ‘SAUTI APP ’ KURAHISISHA MAWASILIANO KWA WENYE CHANGAMOTO YA KUSIKIA

MWANAFUNZI wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Jocelyne Joshua, amesema wao kama kikundi cha Tanzania Biomedical Engineering Students Association (TABESA) wamebuni teknolojia maalum itakayowawezesha watu wenye changamoto ya usikivu kujumuika kikamilifu katika jamii na kueleweka kwa urahisi. Jocelyne ambaye anasomea ya Shahada ya Uhandisi Tiba amesema awali…

Read More

SIASA ZA ULIMWENGU ZINAATHIRI NCHI ZA SADC

::::::: Hali ya sasa ya siasa za ulimwengu na vita zinazoendelea Mashariki ya kati, imesababisha madhara makubwa ulimwenguni ikiwemo kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), na huo ni ujumbe tosha kwa nchi zetu kuchukua hatua Madhubuti za pamoja kujinasua. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la SADC ambaye…

Read More

TCCA YAMPONGEZA DKT. NASRA KUSAIDIA SEKTA YA ANGA

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA kupititiakwa mkurugenzi wake Ramadhani Msangi imempongeza Mkurugenzi wa kituo cha afya cha Aerospace Medical and Training Centre (AMTc) Kwa kutengeneza kitabu chenye muongozo wa kutoa huduma za afya kwenye ndege, akisema huo ni mwanzo mpya wa kusaidia huduma za anga nchini Tanzania. Wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho…

Read More