Ulaya na Muungano wa Kimataifa – Masuala ya Kimataifa

Wakati ambapo uhusiano wa kitamaduni wa kupita Atlantiki umedorora zaidi kuliko hapo awali—kwa kiasi kikubwa kutokana na msimamo wa karibu wa kulazimishwa wa mkazi wa sasa wa Ikulu ya White House na mzunguko wake—ni muhimu kwa Ulaya kuanzisha au kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika nyanja zote, ikiwa ni pamoja na katika biashara. Mkopo: EEAS Maoni…

Read More

Kihenzile Avutiwa na Uwekezaji wa Bandari ya Durban, Aisifia Ushirikiano wa Sekta Binafsi

DURBAN: Naibu  Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ametembelea Bandari ya Durban iliyopo nchini Afrika Kusini, kwaajili ya kujionea utendaji na uwekezaji mkubwa katika bandari hiyo inayohesabika miongoni mwa bandari kuu za kontena barani Afrika. Bandari ya Durban ina jumla ya gati 58 zinazohudumia aina mbalimbali za mizigo ikiwemo makasha (containers), magari, mizigo ya kawaida (break…

Read More

TANESCO YAGUSA MIOYO YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

…….. 📌Ni sehemu ya uwajibikaji wake kwa jamii  📌Yatoa misaada mbalimbali kwa vituo vitatu Dar es Salaam. Katika kuendeleza dhamira ya uwajibikaji kwa jamii, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), tarehe 19 Machi 2026, lilifanya ziara ya kutembelea vituo vitatu vya watoto wenye mahitaji maalum jijini Dar es Salaam, na kutoa misaada mbalimbali kwa lengo la…

Read More

Cheza Wild White Whale, Chukua Udhibiti wa Bahari ya Zawadi

MERIDIANBET inakuleta kwenye ulimwengu wa ajabu wa Wild White Whale, mchezo unaokuletea mizunguko ya ushindi bila kikomo. Kila mzunguko ni fursa mpya ya kubadilisha hali yako, na kila mchezaji ana nafasi ya kuwa nahodha wa bahari ya zawadi. Hapa, akili na mikakati yako ndiyo vitu vinavyohitajika. Cheza mizunguko 100 kwa pesa halisi, na Meridianbet inakuongezea…

Read More

TANZANIA YAJIUNGA RASMI NA WORLD BOXING

▫️Hatua kubwa kwa maendeleo ya Ngumi Kimataifa 20-03-2026 – Dar es Salaam. SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) linapenda kuutaarifu umma na wadau wa mchezo wa ngumi kuwa Tanzania imekuwa rasmi mwanachama wa World Boxing, Shirikisho la Kimataifa la Ngumi linalotambuliwa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC). Uamuzi wa kuipokea Tanzania ulifikiwa katika kikao cha…

Read More