TSL yazindua mifuko miwili kupanua fursa za uwekezaji

Dar es Salaam. Kampuni ya Tanzania Securities Limited (TSL) imezindua mipango miwili mipya ya uwekezaji wa pamoja yenye ubunifu, ikilenga kuimarisha ushirikishwaji wa wananchi katika sekta ya kifedha na kupanua wigo wa fursa za uwekezaji nchini. Akizungumza Machi 3, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa bidhaa hizo, Gavana wa Benki Kuu ya…

Read More

Kupanda kwa Haraka kwa Teknolojia ya Ufuatiliaji ya Jiji la Smart Kote Afrika ili Kupeleleza Raia – Masuala ya Ulimwenguni

Dhana ya picha ya teknolojia ya dijiti na ufuatiliaji wa kamera ya CCTV. Credit: ART STOCK CREATIVE / shutterstock.com Chanzo: Taasisi ya Mafunzo ya Maendeleo, UK Maoni na Taasisi ya Mafunzo ya Maendeleo (Brighton, uk) Jumanne, Machi 17, 2026 Inter Press Service BRIGHTON, Uingereza, Machi 17 (IPS) – Upanuzi mkubwa wa ufuatiliaji unaowezeshwa na AI…

Read More

WIZARA YA ARDHI YAZINDUA MPANGO MAALUM KUINUA WANA WANAWAKE KUNUFAIKA NA HATI, ELIMU NA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDH KUPITIA SAMIA ARDHI KLINIKII

  Na.Alex Sonna-Dodoma WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha  kliniki maalum iitwayo Samia Ardhi Kliniki nchi nzima kwa lengo la kuongeza idadi ya wanawake wanaomiliki ardhi, ambapo kwa sasa ni asilimia 28 tu. Hatua hiyo inalenga kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kuhakikisha…

Read More

Arusha kutumia Sh503 bilioni kutekeleza miradi ya maendeleo mwaka 2026/27

Arusha. Mkoa wa Arusha umepitisha rasimu ya mapendekezo ya mpango wa bajeti ya Sh503.595 bilioni kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwa ni ongezeko Sh9.88 bilioni kutoka bajeti ya mwaka uliopita 2025/2026 iliyokuwa Sh493.71 bilioni. Aidha, katika bajeti hiyo, Sekretarieti ya Mkoa wa Arusha imepangiwa Sh14.72 bilioni  huku Sh488. 867 bilioni zikielekezwa…

Read More