Dkt. Stellah Mpagama Aing’ara Kimataifa: Tanzania Yajipambanua Katika Utafiti wa Afya Duniani

Katika hatua inayoendelea kuipa heshima Tanzania kwenye ramani ya sayansi na afya duniani, Dkt. Stellah Mpagama ametajwa miongoni mwa viongozi wa afya duniani kutoka Afrika, akitambuliwa kwa mchango wake mkubwa katika utafiti wa kifua kikuu na magonjwa nyemelezi. Dkt. Mpagama anaungana na majina makubwa barani Afrika yaliyolelewa na programu za European and Developing Countries Clinical…

Read More

Mgogoro wa kibinadamu ‘unazidi’ nchini Afghanistan wakati vita vinapozuka katika Mashariki ya Kati – Masuala ya Ulimwenguni

Mzozo wa Mashariki ya Kati unaongeza matatizo na ukosefu wa utulivu kwa Afghanistan huku bei ya bidhaa tayari ikipanda katika “uchumi ambao tayari ni dhaifu”, kulingana na Georgette Gagnon, Afisa Msimamizi wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo.UNAMA), ambaye mamlaka yake yanasasishwa baadaye mwezi huu katika Baraza la Usalama. Wakati huo huo, njia ya…

Read More

WAZIRI CHONGOLO AWATANGAZIA NEEMA WAKULIMA WA IDOFI, KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI EKARI 1,300

NIRC Makambako. Waziri wa Kilimo Mhe. Daniel Chongolo ametangaza neema kwa wakulima wa Idofi, Wilaya ya Makambako, ambapo Serikai inaenda kutekeleza mradi Mkubwa wa Umwagiliaji utakaonufaisha ekari zaidi ya 1.300. Amesema, hatua hiyo itainua uchumi hivyo ni muhimu kuunga mkono mpango wa Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji wa kutekeleza mradi huo wa ujenzi…

Read More

Marekani Yaipa Iran Saa 48 Kufungua Strait of Hormuz

Global Publishers March 22, 2026 0 Comments Rais wa Marekani, Donald J. Trump, ametuma ujumbe mkali akiilenga Iran kuhusu hali ya usalama katika eneo la Strait of Hormuz. Kupitia ujumbe uliosambaa mtandaoni, Trump ameonya kuwa Iran inapaswa kufungua njia hiyo muhimu ya kimataifa bila vitisho ndani ya muda maalum wa saa 48, akisisitiza kuwa hatua…

Read More

Mlipuko wa drone watikisa uwanja wa ndege Dubai

Dar es Salaam. Hali ya taharuki imetanda katika jiji la Dubai huko Falme za Kiarabu baada ya tukio la mlipuko mdogo kuripotiwa karibu na barabara ya kurukia na kutua ndege katika Uwanja wa Kimataifa wa Dubai. Tukio hilo limesababisha kusimamishwa kwa muda kwa baadhi ya safari za ndege. Taarifa za awali zinaeleza mlipuko huo umehusishwa…

Read More

Aucho ajibu tuhuma za utovu wa nidhamu Singida BS

BAADA ya uongozi wa Singida Black Stars kutangaza kumsimamisha kwa miezi mitatu Khalid Aucho kwa tuhuma za utovu wa nidhamu na kuchelewa kazini, kiungo huyo raia wa Uganda, ameonekana kujibu kupitia ujumbe aliouchapisha katika ukurasa wake wa Instagram. Taarifa ya Singida Black Stars iliyotolewa leo Februari 27, 2026 na ofisi ya mtendaji mkuu wa klabu…

Read More