TANZANIA YAJIUNGA RASMI NA WORLD BOXING
▫️Hatua kubwa kwa maendeleo ya Ngumi Kimataifa 20-03-2026 – Dar es Salaam. SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) linapenda kuutaarifu umma na wadau wa mchezo wa ngumi kuwa Tanzania imekuwa rasmi mwanachama wa World Boxing, Shirikisho la Kimataifa la Ngumi linalotambuliwa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC). Uamuzi wa kuipokea Tanzania ulifikiwa katika kikao cha…