Wastani wanawake wanne hukatwa matiti kila wiki KCMC

Moshi. Wakati takwimu zikionesha kuwa asilimia 14.4 ya wanawake nchini wanaugua saratani ya matiti, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC, imesema baadhi yao hufika wakiwa katika hatua ya tatu na nne ya ugonjwa hali ambayo inapelekea wastani wa  wanawake wanne kukatwa matiti kila wiki. Hayo yamesemwa leo Jumapili Machi 8. 2026 na Ofisa…

Read More

Mtaalamu azungumzia faida, fursa katika sekta ya gesi

Dar es Salaam. Mtaalamu wa Nishati ya Gesi kutoka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Mhandisi Geturu Bosinge, amesema watu wengi hawana ufahamu wa kutosha kuhusu faida za nishati ya gesi asilia katika matumizi mbalimbali, ikiwemo magari na mafuta. Amesema sekta ya gesi asilia ina fursa nyingi ambazo bado hazijafahamika wala kutumiwa kikamilifu na…

Read More

Aucho ajibu tuhuma za utovu wa nidhamu Singida BS

BAADA ya uongozi wa Singida Black Stars kutangaza kumsimamisha kwa miezi mitatu Khalid Aucho kwa tuhuma za utovu wa nidhamu na kuchelewa kazini, kiungo huyo raia wa Uganda, ameonekana kujibu kupitia ujumbe aliouchapisha katika ukurasa wake wa Instagram. Taarifa ya Singida Black Stars iliyotolewa leo Februari 27, 2026 na ofisi ya mtendaji mkuu wa klabu…

Read More

Peramiho kesho kuamua mrithi wa Jenista Mhagama

Ruvuma. Jumla ya wapigakura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi utakaofanyika kesho Februari 26, 2026 kwa ajili ya kumchagua mbunge wa Jimbo la Peramiho na diwani wa Kata ya Shiwinga. Uchaguzi wa Peramiho unafanyika kutokana na kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Jenista Mhagama (CCM) aliyefariki dunia…

Read More

FYATU MFYATUZI: Nimewasamehe ‘mamluki’ waliokinukisha tukanuka

Juzi, Fyatu mmoja aliyefyatuka bila aibu wala woga akanifyatua na kuzusha kuwa nina uroho wa madaraka kana kwamba yeye hanao! Nani asiyependa madaraka? Kwanza, sikuamini ningehusishwa na dhambi hii ambayo chanzo chake ni shetani kutaka kumfyatua Sir God aliyemfinyanga asijue. Huwa nashangaa. Kwanini Sir God ‘mjua yote’ hakujua kuwa sheitwan angejaribu kumfyatua? Siishii hapo. Kifyatufyatu,…

Read More

Papa Leo kufanya ziara nchi nne za Afrika

Dar es Salaam. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Pope Leo, anatarajiwa kuanza ziara rasmi katika mataifa manne ya Afrika kuanzia Aprili 13 hadi 23, 2026, ikiwa ni safari yake ya tatu ya kitume nje ya Italia tangu aanze uongozi wake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Holy See Press Office, Papa Leo atatembelea mataifa ya…

Read More