TANZANIA KUENDESHA MAFUNZO, KONGAMANO LA USHIRIKISHWAJI WA WANAWAKE KWENYE USULUHISHI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA
Tanzania yafanya maandalizi ya kuendesha mafunzo na kongamano la ushirikishwaji wa wanawake kwenye usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala ili kuongeza idadi ya wanawake waliothibitishwa kwenye ngazi ya maamuzi na ushiriki kwenye utatuzi wa migogoro ndani na nje ya nchi. Hayo yameelezwa leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi…