Wanakutana Zenji, namba, hesabu za kikubwa Dabi K’koo
GEPU la pointi tano baina ya vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga dhidi ya Simba inayoshika nafasi ya tatu, ni miongoni mwa vitu vinavyokwenda kunogesha Dabi ya Kariakoo. Zikiwa zimebaki takribani siku tatu kabla…