Ukraine yageukia gesi ya Msumbiji kukabili uhaba

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameeleza mpango wake wa kutaka kuagiza gesi asilia kutoka Msumbiji ikiwa ni juhudi za kukabiliana na uhaba wa rasilimali hiyo nchini mwake, ambapo miundombinu yake imeharibiwa kutokana na vita dhidi ya Urusi. Zelensky amefanya mazungumzo na mwenzake wa Msumbiji, Rais Daniel Chapo, jana Jumatatu Machi 23, 2026 na kueleza hatua…

Read More

MAELEKEZO YA MRAJIS KWA VYAMA VYA USHIRIKA KUTUMIA MIZANI ZA KIDIGITALI KATIKA UPIMAJI WA MAZAO

Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege amevitaka Vyama vya Ushirika vya Mazao nchini kutumia mizani za kidigitali katika kupima mazao ya wakulima ili kuondoa udanganyifu na kumlinda mkulima.  Mrajis ametoa maelekezo hayo kupitia barua ya tarehe 13 Machi, 2026 aliyowaandikia Wenyeviti na Wajumbe wa Bodi wa Vyama vya Ushirika vya mazao Tanzania Bara…

Read More

IHI yatafiti kipimo cha ulimi kubaini kifua kikuu

Dar es Salaam. Utafiti mpya wa Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) umeibua matumaini ya kurahisisha utambuzi wa vimelea vya kifua kikuu kwa kutumia mbinu mbadala ya usufi wa ulimi badala ya makohozi. Njia hiyo mbadala ya kugundua TB, ambayo inaweza kuwa nyepesi, haraka na rahisi kwa wagonjwa, imebainishwa leo Jumanne, Machi 24, 2026 wakati dunia…

Read More

Mamia ya wakulima Muheza wanufaika na miche 75,000

Tanga. Zaidi ya miche 75,000 ya miti ya uhifadhi na mazao ya biashara imegawiwa na kupandwa katika vijiji vya Shembekeza na Kwemwewe, wilayani Muheza, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulinda vyanzo vya maji vya Milima ya Amani na kuhakikisha upatikanaji endelevu wa maji katika Jiji la Tanga na wilaya za Muheza, Mkinga, Pangani na…

Read More

WANAFUNZI WA MADRASA ,WAALIMU KUTOKA KONDOA WATHIBITISHA KWA MUNGU HAKUNA KUBWA NGORONGORO

Mwenyezi Mungu akitaka jambo litokee  hutokea ndivyo ilivyotokea, uumbwaji wa Kasoko ya Ngorongoro zaidi ya miaka milioni 2.5 iliyopita ambapo mlima mrefu uligeuzwa kuwa bonde la Ngorongoro. Wanafunzi wa madrasa kutoka jimbo la Kondoa mkoani Dodoma pamoja na walimu wao wameshuhudia uwezo huo wa Mwenyezi Mungu walipotembelea hifadhi ya Ngorongoro katika ziara iliyoandaliwa na mbunge…

Read More