Ndejembi aitaka Pura kuwaandaa Watanzania kunufaika na gesi asili

Morogoro. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (Pura) kuanza mapema kuwaandaa Watanzania kushiriki kikamilifu katika mradi wa gesi asilia kimiminika (LNG), ili wanufaike kabla ya wageni. Akizungumza leo Februari 26, 2026 mjini Morogoro wakati wa kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Pura, Ndejembi amesema rasilimali…

Read More

Doumbia ni suala la muda tu Yanga

UONGOZI wa Yanga, umetaja mambo mawili ambayo yatalifanya benchi la ufundi la timu hiyo kuamua kuwarejesha kikosini au kuachana na nyota watatu wa kimataifa ambao timu hiyo imewatoa kwa mkopo kwenda timu tatu tofauti katika nchi za Afrika Kusini, Algeria na Afrika Kusini. …

Read More

Vita ya Iran kutikisa wakulima upatikanaji mbolea dunia

Wakati vita ya Marekani, Israel dhidi ya Iran ikiendelea kushika kasi kwa takribani wiki ya tatu sasa, moja ya changamoto kubwa ambayo iatajwa kuikumba dunia siku za usoni ni upatikanaji wa mbolea kwa wakulima. Athari za vita hivyo, inatoa mwangwi kwa wakulima hapa nchini kujiweka mguu sawa ili kukabiliana na changamoto hiyo, ambapo Tanzania ni…

Read More

Kufunga kwampa mzuka Adeyum Saleh

BEKI wa kushoto wa Bigman, Adeyum Saleh, amesema siri ya kufunga mabao zaidi kwa sasa katika kikosi hicho ni kutokana na umakini mkubwa aliokuwa nao wa kumalizia nafasi, hususani anapokuwa anatengeneza mashambulizi kutokea pembeni ya uwanja. Akizungumza na Mwanaspoti, Adeyum aliyejiunga na kikosi hicho msimu huu baada ya kuachana na Geita Gold, amesemamechi za hivi…

Read More

Mgogoro stendi ya daladala Buza wachukua sura mpya

Dar es Salaam. Mgogoro wa stendi ya daladala katika eneo la Buza, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, umeingia hatua mpya baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Temeke kuingilia kati na kuagiza kurejeshwa kwa huduma katika stendi zilizokuwa zikitumika awali, huku uchunguzi wa kina ukianza mara moja. Mkuu wa Takukuru…

Read More

Yanga yafuata winga mwingine DR Congo

KAMA unahisi Yanga imeridhika na kikosi chake cha sasa, basi umekosea kwani mabingwa hao wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara wameshaanza kupiga hesabu za kumchukua winga mmoja wa DR Congo, huku wakichuana na Waarabu kutoka Algeria kuwania saini ya staa huyo. Iko hivi; Yanga imejikuta ikipishana mlangoni na MC Alger ya Algeria katika kuulizia saini…

Read More