Ushindani sokoni unavyoshusha bei, kuchochea ubunifu

Ni rahisi kuona kampuni kubwa zikishindana na kudhani lengo lao ni kuumizana. Lakini tukilitazama kwa jicho pana, ushindani wa kibiashara si vita ya kuangamiza bali ni nguvu inayowanufaisha wateja. Ukiwa na usimamizi mzuri, ushindani huwa kama fadhili iliyojificha unasukuma ubora juu, bei chini, na ubunifu mbele. Fikiria simu ya mkononi uliyonayo. Kila mwaka kampuni kubwa…

Read More

Trump Awageukia Waandishi, Atishia Kuwapeleka Jela

Global Publishers April 7, 2026 0 Comments Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuwachukulia hatua kali, ikiwemo kuwafunga jela waandishi wa habari waliotoa taarifa za siri kuhusu operesheni ya kijeshi nchini Iran. Kauli hiyo imekuja baada ya taarifa kuvuja zikidai kuwa kulikuwa na mwanajeshi wa pili wa Marekani aliyekwama ndani ya Iran kufuatia kudunguliwa kwa…

Read More

Kipa Singida BS afutiwa tuhuma za upangaji matokeo

ZIKIWA zimepita siku mbili baada ya Singida Black Stars kumfutia adhabu kiungo Khalid Aucho ya kumsimamisha kwa miezi mitatu kutokana na utovu wa nidhamu na utoro kazini, pia imefanya hivyo kwa kipa Amas Obasogie aliyekuwa akituhumiwa na ishu ya upangaji matokeo. Hatua hiyo inakuja baada ya Februari 27, 2026, taarifa ya Singida Black Stars iliyotolewa…

Read More

Tausi FC wala haiwazi ubingwa, mipango ni hii

TAUSI FC imemtambulisha Baraka Kilasi kama moja ya makocha watakaounda benchi la ufundi akiungana na makocha wengine Wajerumani wawili ambao ni Paul Gomez na Martin. Kilasi ambaye ana uzoefu mkubwa katika ukocha amewahi kuwa kocha msaidizi wa Simba SC U20, Tazara FC ya Zambia na Young Boys FC inayoshiriki ligi kuu ya Zambia. Akizungumza na…

Read More