Mwimbaji wa Injili Irene Robert Afariki Ghafla
Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Irene Robert, amefariki dunia leo Machi 20, 2026 baada ya kuugua ghafla. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwimbaji mwingine wa Injili, Walter Chilambo, kupitia ukurasa wake wa Instagram, akionesha masikitiko kufuatia kuondokewa na rafiki yake wa karibu. Katika ujumbe wake, Walter…