WANANCHI WAHAMASISHWA KUCHAMBUA NA KUREJELEZA TAKA KUELEKEA SIKU YA TAKA SIFURI DUNIANI

………. Dar es Salaam, Machi 20, 2026 Wananchi nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchambua taka ngumu majumbani na katika maeneo yao ya kazi, badala ya kuzitupa ovyo, ili kulinda mazingira na kuongeza thamani ya taka hizo kiuchumi. Wito huo umetolewa na Balozi wa Mazingira wa kujitolea nchini, Moses Mwakibolwa, wakati akizungumza kuelekea maadhimisho ya Siku…

Read More

KATIBU MKUU CCM AFUNGUA MAFUNZO YA UONGOZI NA UTAWALA BORA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Asha-Rose Migiro, leo Jumatatu,Machi 9,2026, amefungua rasmi mafunzo maalum ya Uongozi na Utawala Bora kwa viongozi na watendaji waandamizi wa Chama yanayofanyika katika Ukumbi wa Mount Royal, Mkoani Iringa. Mafunzo hayo ya siku nne yameandaliwa na Jitegemee Holdings Company Limited (JHCL) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wakurugenzi…

Read More

Simulizi tamu ya Tepsie Evance na Okello wa Yanga

STAA wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Shaban Kisiga aliwahi kusema kipaji kinakijua kipaji kingine hata kama wachezaji wanacheza timu tofauti. Hali hiyo imetokea kwa winga wa Azam anayecheza JKT Tanzania kwa mkopo, Tepsi Evance ambaye jina la utani wanamwita Okello. Kauli ya Kisiga ilitokana na kiungo wa zamani wa Yanga, Haruna Niyonzima aliyewahi…

Read More

LAVENDER CATERING YAANDAA BATA LA MFUNGO

Katika tukio la kipekee kabisa kwenye kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan na Kwaresma limegusa watu wengi katika kusheherekea kwa pamoja na familia zao kwa chakula kinacho andaliwa na wataalam na wabobezi wikiendi hii ya tarehe 28 February na 1 March 2026 MBEZI BEACH RAINBOW Dar es salaam. Lavender Catering itaandaa menu ya kifahari yenye…

Read More

Yanga yakwama tena kwa Mtibwa, kicheko kwa Simba

Nuksi ya sare imeendelea kuiandama Yanga baada ya jana kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Huo umekuwa ni mchezo wa tatu mfululizo kwa Yanga kupata matokeo ya sare tasa katika mechi mbili zilizopita dhidi ya Azam FC na TRA Unted. Sare hiyo inaonekana kuwa na faida kwa Simba…

Read More

Mambo sita mwanao anayohitaji kuyasikia

Dodoma. Watoto wadogo ni watu kamili wenye hisia kama sisi watu wazima. Hata kama wakati mwingine hawawezi kusema wazi wazi, ukweli ni kwamba akili zao ni kama dodoki linalonyonya kimya kimya yale wanayoona tukiyasema na kuyatenda. Unaweza, kwa mfano, kusema jambo dogo kwa mtoto tena bila kumaanisha lakini jambo hilo likawa sumu itakayoharibu kabisa maisha…

Read More