Meridianbet Yaiga Hatua Kusaidia Wajasiriamali Wadogo Coco Beach
KATIKA mwendelezo wa kuunga mkono jamii na kukuza uchumi wa watu wa hali za chini, Meridianbet imeandika historia nyingine kwa kugusa maisha ya kina mama wajasiriamali maarufu kama Mama Lishe. Safari hii, kampuni hiyo imefika moja kwa moja mtaani na kugawa aproni kwa kina mama wanaouza vyakula, ikiwa ni ishara ya kuthamini kazi yao kubwa….