Ushuru wa kiraia unaongezeka, usumbufu wa kikanda unaenea Baraza la Usalama linapokutana – Masuala ya Ulimwenguni

© UNICEF/Dar al-Mussawir Wanafamilia wamepumzika barabarani huko Beirut, Lebanon, baada ya kutoroka nyumbani kwao kufuatia maagizo ya Israeli ya kuhama. Jumatano, Machi 11, 2026 Habari za Umoja wa Mataifa Huku mzozo wa Mashariki ya Kati ukiendelea kushuhudiwa katika eneo hilo, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana leo kujadili hali inayozidi kuwa mbaya, na…

Read More

Serikali kuimarisha uwezo wa maofisa uvuvi

Bagamoyo. Serikali imezindua rasmi mafunzo ya siku tano kwa maofisa uvuvi na wakaguzi wa mazao ya uvuvi wapatao 25 kutoka ukanda wa Bahari ya Hindi, katika juhudi za kuimarisha sekta ya uvuvi ili ichangie zaidi katika uchumi wa Taifa. Mafunzo hayo, yanayoendelea mkoani Pwani, yameandaliwa kwa ushirikiano kati ya Shirika la Chakula na Kilimo Duniani…

Read More

MOI mguu sawa Afcon 2027

TAASISI ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imesema iko tayari kwa ajili kutoa huduma kwa wanamichezo watakaopatwa na madhira kwenye mashindano ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Tanzania itakuwa mwenyeji katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 ikiungana na nchi za Kenya na Uganda ambapo maandalizi yanaendelea. Mkurugenzi wa MOI, Dk…

Read More

Ajira 1,300 za kada ya afya zanukia Zanzibar

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza mpango wa kutoa ajira 1,300 kwa wataalamu wa sekta ya afya, katika jitihada za kukabiliana na upungufu wa watumishi na kupunguza msongamano katika hospitali za rufaa. Hatua hiyo inatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa, huku wataalamu hao wakipangiwa kufanya kazi zaidi katika zahanati na vituo vya afya, ambako…

Read More

Sheria mpya za soka 2026 kupiga vita kupoteza muda

MABADILIKO ya sheria za soka ambazo kimsingi zitaanza kufanya kazi wakati wa Kombe la Dunia 2026 kabla ya kuhamia karika ligi mbalimbali, yamemuibua mkufunzi wa waamuzi nchini, Soud Abdi ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi Tanzania, akisema yataondoa tabia ya janjajanja ya kupoteza muda ambayo imekuwa ikiharibu ladha ya mchezo. Akizungumza kuhusu…

Read More

Video: Polisi Kuhusu Mwenyekiti BAVICHA Kupotea – ”Amekimbia Kesi ya Mauaji”

Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa ufafanuzi rasmi kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa watuhumiwa wanne, akiwemo Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Mkoa wa Iringa, Ibrahimu Myovella, wamepotea wakiwa mikononi mwa polisi. Akizungumza na waandishi wa habari,…

Read More

Peter Lwasa aahidi makubwa Pamba Jiji

KIUNGO mshambuliaji wa Pamba Jiji, Peter Lwasa ambaye msimu uliopita alimaliza na mabao manane akiwa Kagera Sugar, amesema hajawa na mwendelezo mzuri wa kufumania nyavu msimu huu kutokana na kutocheza mechi mfululizo. Huu ni msimu wa kwanza kwa kiungo huyo raia wa Uganda kuitumikia Pamba Jiji ya Mwanza akisajiliwa kutokea Kagera Sugar iliyoshuka daraja msimu…

Read More