MVUA ZAADHIRI MAKAZI YA WANANCHI HOLILI.
WANANCHI wa Kitongoji cha Shuleni, Kijiji cha Holili Vijijini wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia athari za maji ya mvua yaliyoelekezwa kwenye makazi yao kufuatia uchimbaji wa mitaro uliofanywa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA). Wakizungumza kwa nyakati tofauti na waandishi wa habari jana, wananchi hao wamesema hali hiyo imeanza kuleta madhara tangu…