Wizara yawezesha wanawake kufikia fursa kiuchumi

Unguja. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar imesema imewezesha vikundi 6,700 vya wajasiriamali Unguja na Pemba kupitia programu ya Dk Mwinyi Boasting Fund. Kupitia programu hiyo, imetoa mikopo nafuu ya Sh2.8 bilioni,  yenye lengo la kuwawezesha kiuchumi wajasiriamali wanawake katika vikundi mbalimbali. Hayo yameelezwa leo Jumanne Machi 3, 2026 na Waziri wa…

Read More

ONGEA NA ANTI BETTI: Mke wangu amenifumania, amekaa kimya

Anti ninashindwa niseme au nifanye nini kwani maana mke wangu anataka kuniua kwa kihoro. Nilikuwa na uhusiano na rafiki yake (nimeacha na sitorudia tena usiniseme vibaya), amejua maana alikuta ujumbe mfupi wa mahaba akaniuliza nikakataa. Nadhani alikuwa anatufuatilia kwani alitukuta uso kwa macho tukiwa hotelini nje ya mji tunaogelea kwenye jakuzi. Siyo jakuzi la jumuia…

Read More

Nsajigwa: Azam? Waje tumalizane | Mwanaspoti

BAADA ya kutambulishwa kuwa kocha mkuu wa Tanzania Prisons, Shedrack Nsajigwa amesema yuko tayari kuikabili Azam FC, akieleza jinsi alivyoibadili timu hiyo ndani ya uwanja kurejesha ushindi kikosini. Nsajigwa alitambulishwa kikosini humo akichukua mikoba ya Zedekiah Otieno raia wa Kenya aliyesitishiwa kibarua chake Februari 25, 2026 kutokana na matokeo yasiyoridhisha kwenye Ligi Kuu. Akizungumza leo…

Read More

Hivi ndivyo 2028 itakavyoyapokea madarasa mawili sekondari

Dar es Salaam. Utekelezaji wa Sera ya Elimu ya elimu na Mafunzo unaendelea kuchukua sura mpya nchini, huku Serikali ikijiandaa kukabiliana na changamoto ya ongezeko kubwa la wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza ifikapo mwaka 2028. Katika mwaka huo, Tanzania inatarajiwa kushuhudia madarasa mawili ya wanafunzi kutoka elimu ya msingi yakijiunga kwa pamoja na…

Read More