Kachwele apelekwa HFX Wanderers | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI Mtanzania, Cyprian Kachwele amejiunga na Halifax Wanderers FC ya Ligi Kuu Canada kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Whitecaps FC 2. Mkataba huo unatamatika Desemba 31 mwaka huu na inaelezwa Kachwele amesajiliwa ili kukiongeza nguvu kikosi cha Wanderers. Inaelezwa sababu ya nyota huyo kutolewa kwa mkopo ni kumpa muda zaidi wa kupata…

Read More

Ambokile atuliza presha Mbeya City

MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Eliud Ambokile amesema licha ya mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho msimu huu katika Ligi Kuu Bara, lakini bado wana nafasi ya kubadilisha upepo mbaya unaowaandama, kutokana na ubora wa wachezaji waliopo kikosini. Akizungumza na Mwanaspoti, Ambokile, alisema bado wana wachezaji wazuri wanaoweza pia kubadilisha hali iliyopo, licha ya ushindani mkali uliopo…

Read More

Simba, Yanga zitakavyonogesha Kombe la Muungano 2026

WAKATI za Yanga na Simba zikiwa miongoni mwa timu shiriki za Kombe La Muungano 2026, imeelezwa uwepo wao utaleta ushindani na kuongeza hadhi kwa mashindano hayo. Akizungumza na Mwanaspoti, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Hussein Ahmada Vuai alisema ushiriki wa timu hizo utazidi kuleta hamasa kwa mashabiki kufika viwanjani kushuhudia burudani…

Read More